Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

alale mahali pema peponi ..njia yetu ni moja
"swaiba umetoroa umenitoroka bila kusema unaondoka"
daah hii nyimbo ya swahiba nitazidi kuisikiliza
RIP broh
 
dah huo wimbo kama alikuwa anajiimbia mwenye kweli kifo hakichagui pumzika kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…