Eli wallach
Member
- Oct 17, 2018
- 25
- 21
Kitambo sana, nilipenda sana uigizaji wake wa kuonge taratibu na busaraNakumbuka sana igizo lao alilocheza kama mume anayesikiliza sana mama yake na dada zake mpaka akamuacha mke mwema akaoa mke machachari kabisa!!!
RIP Mashaka, hiyo ni njia yetu sote.
Miongoni mwa waigizaji wenye busara.Kitambo sana, nilipenda sana uigizaji wake wa kuonge taratibu na busara
Sana, kuna dada mmoja aliitwa peace sijui yuko wapi, akina tabia. Wakati huo maigizo yakikuwa na mvuto kuliko bongo movieMiongoni mwa waigizaji wenye busara.