Tanzia: Msanii wa Bongo Flava, Abamto Valentino afariki dunia

Dah maisha ni mafupi mno zama hizi..poleni
 
Wasanii nao wengi sana siku hizi
 
Hahahh..! Msanii wabongo anajulikana sana akifariki au kupata maafa makubwa..?

RIP young braza, mnajifunza nini wasanii??
 
Apumzike kwa amani dogo,mbele yake nyuma yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…