Jaman jaman sio Mzee Magali ni mtoto wake anaitwa Sherry Magali daa watu bwana!!
View attachment 195183
Pumzika kwa amani Sherry Charles Magali.
Heeee R.I.P Magari.....kifua noma
Kwa mpango huu ataondoka na wengi,Alale panapostahiliView attachment 195183
Pumzika kwa amani Sherry Charles Magali.
ebu nipen umbea vzur, si yule demu anayependa kusuka rasta na ivi karibun alikana kuwa magar sio baba yake? Anaitwa fey sijui
Ni magari au mwanae?
Kwa mpango huu ataondoka na wengi,Alale panapostahili
hiki kifua ni hatari sana,Mungu atusadie kwa kwelina kifua eeeeeh
rip