Tanzia: Msanii wa filamu Sherry Magali afariki dunia

Japo simjui lakini tunamuombea apumzike palipostahili yake...
 
Dah! Kifua hiki bhana aah! Tatizo kina mambo mengi mno,sijui moyo,kupenda,mapafu,matiti kupumzisha waliosongwa na mawazo yote hayo yako kifuani.RIP bi dada
 
Huu ugonjwa wa kifua inabidi tuwe nao makini sana maana umeanza kuenea kwa kasi siku hizi,serikali inabidi itoe elimu kujikinga na huu ugonjwa wa kifua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…