Bwana ametoa na Bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe
Amina.!!!
Hata usipokula utakufa tuu nyambaf weweNa mimi namkumbuka. Presha mbaya sana jamani. Tujenge tabia ya kufanya mazoezi na kupunguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na chumvi.
Duuu! nimesikitika sana ivi ameumwa nini?alikuwa mwalimu wangu pale makongo na pia mwalimu mzuri sana wa Somo la Dini ( Divinity!)na pia kipenzi cha wanafunzi nikiwepo mimi mwenyewe akiongea na lile pozi lake!eeeh Mungu mpokee kiumbe wako! tena nasikia kuna kipindi aliwai kuanzisha na kanisa lake mara walimwengu wakamzushia eti nini nini nini nini sijui?inajua watu walishindwa kumuelewa hasa waumini wake huyu mzee mbali na kuwa mchungaji alikuwa pia anaendeleza sanaa za maigizo sasa ile hali ya kufanyia vikao baa ndo akazushiwa otherwise ukweli anaujua mwenyewe mana ya dUNIA NAYO MENGI...ILA I WILL BE MISSING MY TEACHER!