TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Mmmmh.
Kuna kipindi nilikuwa napenda kuangalia cha 1000 ways to die.
My brother. nikiona hata tiles hazijakauka maji nakuwa makini sana.kifo kina sababu nyingi sana.
Inasikitisha na inauma sana.
Mkuu, hiki kipindi nilikibahatisha siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu... Dah, kweli kuna njia nyingi sana za kufa..

Kuna jamaa alikufa kwa sikitisha sana... Ametoka zake job, home mke wake akamtayarishia juice, kabla hajanywa, akapigiwa simu Na mchepuko wake, mchepuko anataka dushe, jamaa ikabidi apige vidonge viwili vya nguvu za kiume....

Kumbe mchepuko naye akamtayarishia juice, akaweka Na vidonge vingine viwili vya nguvu za kiume...

Kabla ya game, jamaa akakaribishwa juice.... Aiseee... Huyu jamaa alikufa, maana walionesha jinsi mishipa ya damu kwenye ubongo ilivyo pasuka...
 
Daa ndio maana mieleka wanasema usijaribu popote pale ,,baunsa nae angeangalia ka mwili jamani ona sasa,,hivi hajakamatwa?
Mu7 ameshatia mkono hapo na juzi aliwakoromea majaji kwa kutoa hukumu laini.. Huyu bila shaka atanyongwa kabla ya February hii kuisha!

Inauma kweli!
 
MKIMWONA DIAMOND NA MABAUNSA MNAHISI AWANAONYESHA SHOW HIZONDIO KAZIZAKWE

M NIGESHAURI MAARUFU WANAMUZIIKI KODISHENI MABAUNSA NDI O SOLN
Kweli wana umuhimu hawa!
 
there will be a vigil today at his Neverland home in Makindye and the requiem service will be held tomorrow at a yet to be known church.

Moze Radio's body will be at National Theatre on Friday and on Saturday, the talented singer will be laid to rest at Kagga in Nakawuka where he was constructing a home for his mom.
 
Kumbe bado ni mtoto ndo maana unaandikaga ujinga humu
Kutokumjua huyo jamaa ndio kunanifanya niwe mtoto??
Duh, hatari sana, haya poa mi dogo. Comment yako inaakisi wewe ni mtu mzima ila una akili za toddler.
 
Idd Amin alikataaga huu ujinga wa kutawaliwa na mtu mmoja. Lakini mlimwita dikteta ninyi haohao. Tuwaeleweje?
huyo Idd angekubali kutoka madarakani kirahisi....washukuru wanaume wa JWZ walienda kumtoa
 
Hii iwe fundisho kwa mastaa wetu wengine....
Mambo ya ugomvi sio mpango.
Kwa hiyo siku wakifa Usingizini waache Kulala pia.......!?kujadili kifo ni ujinga kifo kina njia nyingi
 
Mbona hao wanaongea kama wamareka bana
 
Hiyo video ni yenyewe kweli??
 
Mu7 ameshatia mkono hapo na juzi aliwakoromea majaji kwa kutoa hukumu laini.. Huyu bila shaka atanyongwa kabla ya February hii kuisha!

Inauma kweli!
Baunsa kakamatwa?
 
Kwa hiyo siku wakifa Usingizini waache Kulala pia.......!?kujadili kifo ni ujinga kifo kina njia nyingi
What are you smoking!?!?
Umeelewa nilicho maanisha hapo au umekurupuka kunijibu!
Huyo artist kajitakia kifo mwenyewe na video inaonyesha yeye ndio alie mprovoke huyo mlinzi.
Jamaa alikua intoxicated badala ya kutulia akataka kujifanya mwamba watu wakamvunja shingo.
Sasa kama hukuelewa nilimaanisha kwa waliobaki hili tukio liwe kama elimu kwao...
Wafanye starehe, walewe wakimaliza wasianzishe ugomvi otherwise tutaishia kuzika wengi.
Inahuzunisha kapoteza maisha but kiuhalisia alikikaribisha kifo.
 
Hyo sjyooo video ya tukio la radio mkuu....culture tofautii kabisa hao ni americans,alafu radio alikuwa mrefu mwembamba,hako kajamaa kafupii....nahisi unaujua ugomvi wa kiafrika hapo kikenuka hatari watu mia kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…