TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Mmmh!
 
Zuwena ni bonge la ngoma ambalo Radio ameimba halafu jamaa alikuwa na special talent na alikuwa anauwezo wa kugeuza sauti palepale na akaimba sauti Nyingine. See you again legend.
 
Alikuwa upande gani kisiasa? Alikuwa anakubaliana na kipengele cha katiba yao kinachopiganiwa kubadilishwa ili kuondoa ukomo wa utawala ama lah?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]
 
Daaah nkikumbuka lile songi lao la this is opportunity comes once in a life time....kweli maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi hutoka kwa bwana..
Ni kweli kk uyu jamaa alkua ni atar sana sana alkua ana saut balaa na kuna lile song la Zuwena bwana wwe RIP Mkali wayze radio
 
Unaweza jiona mjanja kumbe mshamba,boya la maana. Siasa zenu za kumtakasa mtu anayeshabikia upinzan au anayeitukana serikali haziwasaidii katika safari ya milele.
Ni kweli ss* mpe mpe uyo umeongea point xna yaan[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Hiyo video siyo yenyewe, mose alikuwa na rafiki zake,alipigwa kweli ila na yeye alirusha ngumi pia,wakati anajihami aliteleza akapiga kichwa kwenye pavement na kuzimia
Kutokana na habari kwamba alipasuka fuvu(angalia anavyobamizea kwenye hicho kitu kama meza) na kuvunjika shingo(alivyotupwa chini) nadhani ni hiyo.
 
Hiyo video siyo yenyewe, mose alikuwa na rafiki zake,alipigwa kweli ila na yeye alirusha ngumi pia,wakati anajihami aliteleza akapiga kichwa kwenye pavement na kuzimia
Kuna miiko, Rastafarian hapigani....zingatieni miiko.
====
R.I.P Radio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…