TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Huyo david lutalo ni kiboko mkuu....kuna na mwingine anaitwa King saha ni hatar usipofatilia vizur utadhani ni Radio
 
Wana wimbo wao unaitwa Nyambula jamaa anaimba vizuri sana
 
Jamani naumia Sana kumpoteza huyo mwanamziki Radio jamani inauma mnoo

Kila nikiangalia track hii namkumbuka boy wangu jamani,

Huyu mwanamuziki alikuwa anajua Hasa sauti moja amazing,

Alale maala pema peponi amina,

Ntaomba uweke track yake unayoikubali
 
Duh kwani Kafa??

Ntunga ntunga owe muchalaa ntunga ntunga ,duh jamani mi naikubali track ya tuchikole Neraa


Uganda ni wasanii wanaofanya mziki Kwa ustaarabu si kama bongo matangazo kibao huku hawana lolote
 
Zuwena is his best!

Where you are aliyoshirikishwa na blue three ni one of my fovourite love songs of all time!

He was such a talented guy!

R.I.P
 
Aisee kuna Helena

Akawowoko kansikasika , yanyiga nyiga, yampitako nkwatilwechisa helena

 
Kuna moja walifanya na Rabadaba(kama sijakosea jina) jamaa verse ya kwanza aliflow vizuri sana radio na mwezie walifanya hook,ilikuwa nzuri sana na bread and butter nayo ilikuwa poa sana.
Kipind cha nyuma EATV ilikuwa ni TV ya A.mashariki haswa huku kulikuwa na bush baby na Uganda Central,huku strictly kenyan lkn siku hizi hata hatujui ngoma Kali Ug wala ngoma gani Kali Nairobi
 
Ability and opportunity comes once in life time
 
Unaweza jiona mjanja kumbe mshamba,boya la maana. Siasa zenu za kumtakasa mtu anayeshabikia upinzan au anayeitukana serikali haziwasaidii katika safari ya milele.
Iyo id ni ya watu wangapi? umejibu kama unajibu comment za watu 1000 hv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…