Tanzia: Msanii wa 'Uwa la Matumaini' afariki

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
13,149
Reaction score
6,994
Msanii Mzee Mussajee Karimjee,aliyecheza movie ya Uwa La Matumaini(flower of hope),amefariki na kuzikwa leo Tanga.

Alicheza kwenye nafasi ya Ubunge,na baba wa mtoto wa kike aliyependana na mtoto wa kimaskini.
 
Poleni wafiwa,na kila anayehusika,muwe na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
 
Bila shaka mwenyekiti wao aliweza kuwahi mazishi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…