Tanzia: Msanii Ziggy Wine wa Uganda afariki dunia

saleni

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2019
Posts
1,880
Reaction score
2,843
Habari za toka Jana mwana siasa na msanii mkongwe Bob wine, kafariki , tatizo alitekwa na kupigwa mpaka umauti kumfika.
 
Acha kuchanganya madesa..sio bob wine aliyefariki
 
Ume kurupuka sana.. Kwani unge turia uka ipanga vizuri taarifa yako ungepungukiwa nini
 
Habari za toka Jana mwana siasa na msanii mkongwe Bob wine, kafariki , tatizo alitekwa na kupigwa mpaka umauti kumfika.View attachment 1173233
mleta mada itabidi nimuombe Moderator atumie hekima zake za kukupa ban angalau ya wiki moja kwa kuleta habari za uzushi kuhusu kifo cha bobi wine.

bobi ni buheri wa afya, aliyefariki ni swahiba wake aliyekuwa akifahamika kwa jina la ziggy wyne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…