Nina majonzi makubwa sana kwa kupata taarifa za msiba wa baba yangu wa kazi, mzee wangu aliyenipokea kazini ktk halmashauri ya korogwe, mzee wangu alinipa misingi ya uwajibikaji kazini. Mzee wangu
#deo_kiwiya , pumzika kwa amani baba, umetangulia nasi tutakufuata:
R.i.p mzee wangu , nitakukumbuka daima milele
R.I.P Mzee [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=KIWIYA]#KIWIYA [/URL] .. Mkuu gbrother Msiba uko wapi?
R.I.P Mzee [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=KIWIYA]#KIWIYA [/URL] .. Mkuu gbrother Msiba uko wapi?