TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
-Kupitia ukurasa wa Instagram wa Zamaradi mketema amethibitisha kuwa mtoto wa Munalove almaarufu kama patsmartboy amefariki dunia mda mfupi uliopita

-Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita kulizagaa habari mitandaoni kuwa amezidiwa na kulazwa katika hospitali iliyopo Nairobi Nchini Kenya


=====

Zamaradi Mketema amesema;

Kwasasa bado Mwili uko Nairobi (Kenya) na wameshaanza taratibu nyingine ili kufanikisha mwili kufika hapa nchini.

Na kama kila kitu kikikamilika mwili unatarajiwa kuletwa siku ya keshokutwa hapa DSM na ndio taratibu nyingine zitafata

Ila kwasasa makutano yatakuwa Mbezi Beach kwa Muna kwa wale ndugu jamaa na marafiki watakaotaka kujumuika na zaidi tu michango bado inahitajika sana sana ili kuweza kukamilisha taratibu zilizopo kama mnavyojua lazima kuna mambo ya hospitali yaliyokuwepo, taratibu za kusafirisha na mengineyo (namna ya kutuma nimetoa maelekezo kwenye post iliyopita ambayo itamfikia yeye mwenyewe)

Ushirikiano ni muhimu zaidi kwa kipindi hiki bila kusahau MAOMBI juu ya mwenzetu alieondokewa..

Kwa WOTE WALIOGUSWA na wanahitaji kuchangia chochote tafadhali SOMA MAELEKEZO HAPA CHINI KWA UMAKINI.

Account Number CRDB: 01j2096190100 jina ni ROSE ALPHONCE NUNGU

Na kwa wale ambao BANK itawawia vigumu unaweza kutumia SIMU YAKO YA MKONONI kuingiza kwenye account moja kwa moja kwa njia zifuatazo:

Kama unatumia TIGO PESA fata procedure hiyo chini

Kwa kutuma kutoka TigoPesa kuja kwenye account hii ya CRDB fanya kama ifuatavyo
1. Bonyeza *150*01#
2. Chagua 6 HUDUMA ZA KIFEDHA
3. Chagua 1 TIGO PESA kwenda BENKI
4. Chagua kwenye orodha ya mabenki namba moja (1) kwa maana maana ya CRDB
5. Chagua moja (1) kuingiza namba ya kumbukumbu
6. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (01j2096190100)
7. Weka kiasi
8. Ingiza namba ya siri kuhakiki

Na kama unatumia M-PESA fata procedure hiyo chini

Kwa kutuma kutoka M-pesa kuja kwny account hii ya CRDB fanya kama ifuatavyo
1. Bonyeza *150*00#
2. Chagua 4 kulipa kwa MPESA
3. Chagua 4 kuweka namba ya kampuni, weka namba ya kampuni (CRDB no. 900500)
4. Weka namba ya kumbukumbu (01j2096190100)
5. Weka kiasi
6. Weka namba yako ya siri ya Mpesa
7. Bonyeza 1 kuthibithisha

Jina ni ROSE ALPHONCE NUNGU

Na kama unataka namba tu ya kawaida ya simu tumia hii ya chini

0718814581 Rose Nungu

Asanteni sana kwa mioyo yenu.

NB: Rose Nungu ndio jina official la munalove100 hivyo chochote unachotuma kinaenda kwake moja kwa moja.

MUNGU AWABARIKI SANA!!
[HASHTAG]#kutoanimoyosiutajiri[/HASHTAG]
 
Yeuwii ehhh jamani katoto jamani!
Rip baby boy!
 
Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
 
Oooh maskini Daaah mtoto kaniuma huyu!!! Mungu amlaze pema.
 
Jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Rest in peace little angel....
 
Milly au tzshaderoom asingepost watu tungejua kafa ghafla,,mana walijua kuficha this time sijui kwann,,,baada ya yule sister kupost kuwa mdogo anaumwa ndo mtandaoni kukaenea taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…