Ukijibiwa niitePole kwa wafiwa...munalove ndio nani?
ThanxDuh!...Rest in Peace Angel!...tukumbuke watoto wetu nao wana haki zao, tusilazimishe nao kuingia katika ulimwengu wetu wa ki "super star" kabla.majira yao hayajafika!
Acha tu ila ametesekaaR.I.P Pat.
DAH!!!
Yametimia
Ndugu umeongea maneno ya ndani sanaDuh!...Rest in Peace Angel!...tukumbuke watoto wetu nao wana haki zao, tusilazimishe nao kuingia katika ulimwengu wetu wa ki "super star" kabla.majira yao hayajafika!
Ameteseka sanaAsante tushapoa.
Alikuwa anaumwa figo na athma.
Ila walifanya siri nasikia mpaka Milly alipoamua kumpost katika page yake ndio habari zikawa wazi.
Too young to die.
Ila bora kasema miye nilikua najua anaumwa ila dah!kumbe serious hvyooAsante tushapoa.
Alikuwa anaumwa figo na athma.
Ila walifanya siri nasikia mpaka Milly alipoamua kumpost katika page yake ndio habari zikawa wazi.
Too young to die.
Yani hapa Mungu anatukumbusha kua kifo hakichagui. Yani simpatii picha muna jamani. Uwiiiii too sadRip nimeumia kama namjua mtoto anauma jamani!!!
FigoJomoni.huyu dogo aliumwa nini hivi jamani
Nalia tu hapa
Naomba fafanua namba 5.Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....