TANZIA: Muigizaji mkongwe, Mzee Ojwang (Benson Wanjau) afariki Dunia nchini Kenya

So sad! Rest In Peace Mzee Ojwang.
 
mama kayaaii onjwng imekufaaa??!!!ni nini mbaya na yeye...
R.I.P mzee
 
Yule mwigizaji nguli wa vichekesho vya (vitimbi) kutoka kenya mzee ojwangi amefariki dunia, bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,
 
Daaa habari ya kusikitisha, mudi yote ya kufanya kazi imepotea ghafla
 
Ojwang,mama kayayee, mama kaninii omughaka na kile kiadunje nimewamis sana. Pole wafiwa.
 
Tanzia imetanda kufuatia kufariki dunia kwa mchekeshaji mkongwe wa kipindi cha vitimbi almaarufu kama mzee Ojwang katika hospitali ya kenyatta baada ya kuugua kwa muda mfupi.mzee ojwang alikuwa na umri wa miaka78.mungu amlaze mahali pema peponi AMEN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…