Weka pichaa hebu
Acha afe wengine waipate ile fursa aliyo kuwa nayo
RIP Recho yaani mtoto alikuwa mzuri huyu!!
mleta mada huyo na rachel au ni wewe ukiwa kwenye msiba ? poleni sana wafiwa
rachel yule mwanamuziki?
Umaskini ndiyo unaochangia vifo vingi vya akina mama na watoto.. Hospitali zetu hazina vifaa vya kutosha...
uzazi wa siku hizi unamatatzo sana tafiti zinaonesha wanawake wengi nowdays wanazaa kwa operation sijui hosp zimegeuza mtaji ?anyway ni mipango ya mungu RIP Rechal so sad dah!
Alazwe anapostahili.
zamani ilikuwa mtu kujifungua kwa oparesheni na wachache sana wanawake walikuwa na nguvu sana ya kusukuma saivi kila mtu oparesheni duuuuu kizazi hiki laini mno
Wakati madaktari walipogoma kupigania mazingira mazuri ya kazi, wengi tuliwalaumu. Leo vifo vya wazazi na watoto vinapotokea, tunaendelea kuwalaumu madaktari......sijui TUKOJEE!! Tusisahau kumwomba Mungu, maana yule mshitaki wetu halali yuko kazini wakati wote! Ee Mwenyezi Mungu tusikie na Utuokoe!
Poleni wafiwa na wote tulioguswa na vifo hivi!