Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Rachel Haule a.k.a recho amefariki dunia usiku wa kuamkia leo ktk hospital ya taifa muhimbili, alienda kujifungua na baada ya kujifungua mtoto alifariki dunia, hali yake (recho) ilizidi kuwa mbaya na baadae kuaga dunia.
tetesi hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa bongo movies steve nyerere

chanzo; global puplishers via facebook.
 
R.I.p rachel ila hizo nguo fupi ulikuwa unazipenda lakini si vema kimaadili na ninaamini ni chukizo mbele za Mwenyezi Mungu. pumzika kwa amani

huwa natizamaga filamu za hapa kwetu ila nikiri tu sikuwahi kumfamu ata kidogo cuz sijawahi kumuona ktk filamu yotote ile niliyowahi kuitizama,hii inamaanisha kwamba hakuwa maarufu kihvy ktk filamu labda hilo la kuvaa nusu uchi ndio lilimpa umaarufu km sio kumpiga kiki ya kisanii na sio ubora wake ktk tasnia ya filamu nchini,ila all in all pumzika unapostahili mama.
 

Asante Daktari,umenena vema sana.
 
Last edited by a moderator:
mmmh pole sana uzazi wa sikuhizi jaman yani kama ni ndugu yako mjamzito siku zake za kujifungua zimefika ni kumuomba mungu kwakweli !
Muombe mungu siku zote,sio karibu na kujifungua au ukiwa na matatizo
 
Hili tatizo limekua jisugu yani kila mama mzito ambiwa ajifungua kwa surgery na kupona ni aghalabu mno.I think something is realy wrong somewhere.

MUNGU AMUWEKE PAHALA ANAPOSTAHILI.

Acha hii mineno bhana...huku tunawafanyia CS na wanapona vzr!Habari za post OP sepsis huku kwe2 ni very rare!
 
Rest in peace Rachel na pole sana Saguda kuondokewa na mtoto na mama
 
Dah Steve inabidi ujiuzulu mbona yangu uvjukue kiti wasanii wanadondoka

Rip Recho

Another mchongo mwingine amjarejesha masalia ya michango ya adamu mpaka sasaa hata kutoa mchanganuo

Acha utahira wewe mpuuzi,
 
Duu Tanzania mtu kufa sababu ya operatio ya kujifungua himekuwa kawaida sasa,wakati ni ajabu nchi nyingine.
Hila ni vyema wamama wanao jiandaa kujifungua wakajizoesha kufanya mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…