Tanzia: Muigizaji wa filamu'Mama Abdul' afariki dunia

Dah RIP.

Namkumbuka kama Mama Badul kwenye maigizo ITV.

Realest actress.

Na ujinga wote wa Bongo Muvi nilivyomuona kwenye kasha la Kigodoro ikabidi niiangalie.

Alifanya vizuri sana akiwa kama mke wa Baharia.
 
Hamna bana hapo ndo nahisi cheo cha udada kimeshakuponyoka kiulainiiiii.
Haha hamna, nakataa kabisa. Tatizo watu mliokulia mjini huwa hamuelewi kuwa kuna watu wanakaa vijijini huko wanatumia vibatari, hawajawahi kuona nguzo ya umeme mtoto anamaliza darasa la saba kijiji hiki anaenda kusoma shule ya kata kijiji kinachofuata. Mtu kama huyu hizi runinga zenu atazionea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah jaman ina maana mujini ulikuja mwaka gani mamie. Nilianza waangalia kwa jirani na ugenini kila nikienda sehemu ugenini kuna video raha mustarehe.

Haya marehemu kaigiza pia toleo la juzi juzi la bongo movie inaitwa KANTANGAZE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…