Tanzia: Muigizaji wa filamu'Mama Abdul' afariki dunia

Unaweza kunihamasisha niwe naangalia bongo movie?
Naaminii kuna Bongo movies ambazo ni nzuri tu, mfano hiyo japo siikumbuki jina ila Huyo hayati Mama Abdul na Mhogo mchungu, waliigiza poa yaani,. so uwe unaangalia and just hope hutojutia kwa baadhi ya movies zilivyo nzuri.
 
Bado hujanishawishi vizuri...

kuangalia bongo movies bora ukalale tu..ila mm nampenda riyama na huyu marehem..sema sijawah shawishika nunua kazi zao bado..nawaangalia na kuwakuta nikiwa safarini..na yule shogake zama aliyeekt chausik.napenda uigizaj wake...!mie nikikaa na wanawake wenzangu huwa napataga ugumu sana...yaan mamichezo yoote ya kwenye tv yako kichwanπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...arghh
 
hahaa, Babu bana hujataka tu kushawishika, ngoja nikuitie mjukuu wako manengelo anisaidie kukushawishi kama ni mdau wa hizo movies.πŸ˜›

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…..shoga mm ndo majanga...yaan vitu navyoangalia utadhan mwanaume vileπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…..magazeti ss nayosomaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...!nashindwa kbs kuangalia movie yyt..ila za nigeria nampenda mr ibu..ukiniambia humu ndan kuna mr ibu kwanza naanza kucheka..otherwise hapana...mie naishi km mbibi tu...!
 
Binafsi nilimuona kwa Mara ya kwanza ana kwa ana na DOGO LANGU JAKAYA COMEDIAN yupo peace R. I. P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…