katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Watu wamezaliwa juziAyaaaaa sema unatania,haukuwahi ona maigizo ya akina seki,bishanga enzi hizo?
Hapana mkuu hatukuwa na runinga kwetuUlikuwa hujazaliwa itakuwa.
R.i.p mama Abdul
Nimemsamehe bureTusamehe tu si wajua kila mtu anapenda kuonekana wa mjini sasa mwenzetu ulipojitofautisha wanakushangaa na kutafuta njia za kukuudhi zaidi