Tanzia: Muigizaji wa FUTUHI, maarufu kama Karumekenge Afariki dunia.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
1540630509633.png

Taarifa kutoka hospitali ya Bugando zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana Ijumaa, Oktoba 26, 2018 usiku wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Jijini Mwanza.

Taarifa zaidi kuwajia soon.

Source: GPL
 
View attachment 912576

Dah! alipatwa na nini tena ndugu karumekenge
 
R.I.P

Pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu!
 
Back
Top Bottom