Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Dah! alipatwa na nini tena ndugu karumekengeView attachment 912576
Taarifa kutoka hospitali ya Bugando zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana Ijumaa, Oktoba 26, 2018 usiku wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Jijini Mwanza.
Taarifa zaidi kuwajia soon.
Source: GPL
Siku yake ilifika tu mkuu,dunia ni mapito tu,Dah! alipatwa na nini tena ndugu karumekenge