Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

D'accord.Je vais tres bien.Vous etes ou?Haa haa walau nimejikumbusha French.C'est long temps.Merci beaucoup madame et bon apres midi
Je suis en Tanzanie,à Dar es salaam.Bon après midi à toi également.Mais vous avez un nom du Kasai,Kasongo c'est un nom congolais.En tout cas je suis ravie d'avoir échangé avec vous.
 
Poleni sana wanayanga na wanaccm kwa msiba huu
 
Je suis en Tanzanie,à Dar es salaam.Bon après midi à toi également.Mais vous avez un nom du Kasai,Kasongo c'est un nom congolais.En tout cas je suis ravie d'avoir échangé avec vous.
Mmh wewe ni hatariiiiii!Kasongo ni jina bandia,Je suis Tanzanien mais,depuis 2007-2013 J'ai travail a Congo (Kolwezi-Lubumbashi),Mali et Senegal!! utanisamehe nikiandika broken French sikukisoma shuleni nilijifunza kazini.Voila,pour plus information "inbox" moi S.V.P
 
Nimefuatilia habari kwa makini lakini sijaona popote waandishi wa habari au mashuhuda wakieleza kuwa marehemu alikuwa abiria au dereva.Hawaelezi kabisa kuwa aligongana na gari gani au alipinduka tu peke yake.Hakika Tanzania hatuna waandishi wa habari wote ni kivuruga mchuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…