TANZIA: Mwanachama na mshabiki nguli wa Simba SC, Fii Kambi amefariki Dunia

Dr Simba

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2016
Posts
997
Reaction score
1,242
Mwanachama na mshabiki Nguli wa Simba sports club,Fii kambi Amefariki Dunia Khafra Akiwa Nyumbani kwake Magomeni Leo hii....innalillah wainalillah rajiun!!!!
 
Mwanachama na mshabiki Nguli wa Simba sports club,Fii kambi Amefariki Dunia Khafra Akiwa Nyumbani kwake Magomeni Leo hii....innalillah wainalillah rajiun!!!!

POLENI WAFIWA WATANI ZANGU
 
R.I.P pia mwanachama mwingine RAY KALAMA mstaafu wa f.f.u .ukonga amefariki jana tarehe 17_12_2017 kwao Zanzibar.mungu ampumzishe peponi.AMEN.
 
R.I.P shabikì

Amefariki bila kuona timu yake ikichukua kombe yapata miaka 5 sasa
 
Masikini anatia huruma. Poleni sana ndugu jamaa na marafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…