Hizi ni itifaki tu kwa wenzetu.Kwanini taarifa itolewe na binamu yake? Hana Mke au watoto??
Itifaki wp..kizee cha umri huo kusemewa na binamu it doesn't make sense to me..vingi vinakua havina marinda hivi..nenda wikipedia tujue sexual orientation Yake ilikuaje enzi za ujana..natumia techno..tehHizi ni itifaki tu kwa wenzetu.
Huenda binamu akawa ndiye msemaji wa familia...!
Na kwetu huku kuna baadhi ya KOO (Family) zinatumia mfumo huu..
Mkuu huu ni ushauri wangu kwako ukiona unafaa unaweza ukaupokea lah unaachana nao. Siku unapofikiri kuhusu yoyote yule awe aliye hai au marehemu jaribu kufikiri katika positive way. Kwa sababu it will cost you nothing. Ila inapotokea umefanya kinyume chake na kumbe hali haiko hivyo ulivyowaza tayari una kesi ya kujibu. Unless kama hauamini uwepo Mungu it's okay.Itifaki wp..kizee cha umri huo kusemewa na binamu it doesn't make sense to me..vingi vinakua havina marinda hivi..nenda wikipedia tujue sexual orientation Yake ilikuaje enzi za ujana..natumia techno..teh