Ina maana East Zoo atakuwa amebakia mmoja tu
Hivi Jafarai siyo mmoja wao?!
Munguwatosha Lengo langu halikuwa kuonyesha ufundi wa kuongea bali ni katika kukumbushana...kwani sisi sote hakuna mkamilifu.....kama nimekukwaza kwa kuwakumbusha wanaadamu wenzangu mambo mazuri ninaomba msamaha wa dhati ndugu yangu......nasisitiza tena lengo langu lilikuwa sio kukukwaza...........KikulachoChako;
Unaongea sana as if wewe ni malaika unatenda mema kila wakati... wakati wa msiba watu wenye busara hutafakali kimyakimya

Jafarai Yuko wateule na KINA Jaymore, Mchizmox, Solo thang.....
chamber Squad alikuwa Ngwair R.I.P, Mez B R.I.P, dark master na Noora ingawa Noora Hali yake kiafya haiko vizuri anasumbuliwa na tatizo la utumbo kujisokota. MUNGU awape faraja wote ndugu, jamaa na marafiki lakini tuwaombee afya wagonjwa.
RIP MEZ B, kibao kama vipi kimetulia aisee zamani walikuwa wanapanga mashairi kiukweliMsanii Moses Bushagama aka Mez B aliyewahi kung'ara na ngoma ya‪#‎KamaVipi‬ aliyompa collabo Rayc1982 - amefariki dunia muda mfupi uliopita huko mjini Dodoma - Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi! - Taarifa zaidi zitakujia kadri tutakavyozipokea!
<span style="color: rgb(20, 24, 35); font-family: Helvetica, Arial, 'lucida grande', tahoma, verdana, arial, sans-serif; font-size: 14px; line-height: 19.3199996948242px;">
Like inayotolewa mkuu ni kumshukuru alieleta uzi au taarifa ambayo kwa namna moja ama nyingine ni muhimu na kama si mleta taarifa basi yule aliyetoa like asingepata hiyo information kwa kipindi hicho ambapo imemfikia sio kwamba wamefurahia kifoJamani hutakiwi ku'like' bandiko lolote linalotoa taarifa ya Kifo. Vinginevyo utaambiwa umerukwa na utu au ulikuwa na kinyongo kikali dhidi ya mwenda zake.
R.I.P Moses.