Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

Dah Mwanachemba kamfata Mwanachemba mwenzie (Ngwair)
Inalilah wa inalilaah raijun;
Mungu ametoa Mungu Ametwaa Apumzike kwa Amani Sote njia ni moja jamani Tusalini tumche Mungu maana hatujui siku wala saa ngapi tutaondoka.!!
 
Aliyekua msanii wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Mez B amefariki dunia, kwa mujibu wa mama yake mzazi amefariki akiwa Dodoma. Atakumbukwa kwa nyimbo zake kadhaa ikiwemo Kikuku, kama vipi na nimekubali.

 
Breaking news:

Taarifa kutoka dodoma zinasema kuwa msanii wa bongo fleva mez b amefariki dunia muda huu. Alikuwa anaumwa sana, mama yake mzazi amedhibitisha habari hizi za msiba akiwa dodoma
 
Na aweke tu mwenzangu mimi nimeshamsahau tokea enzi ya kikuku cha mama Rhoda

Wale wanaofanya sensa za watu misibani watangulie dodoma
 

Attachments

  • 1424421049522.jpg
    21.1 KB · Views: 1,560
  • 1424421090327.jpg
    26.1 KB · Views: 1,397
  • 1424421128459.jpg
    36 KB · Views: 1,374
  • 1424421181829.jpg
    23.2 KB · Views: 1,353
Dah Mez B hatunaye!? Mwana Chemba mwingine ameondoka! Pole kwa Familia yake, Ndugu, Jamaa na Marafiki.

Mwenye Enzi na Ukuu na Utukufu Akurehemu, Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…