Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
- Thread starter
-
- #201
Mkuu nina nyimbo zao zote na zaidi nimezihifadhi kichwani kabisamkuu jaribu kusikiliza track za Don hizi hapa kama hujawahi kuzisikiza I promise you utazipenda hazfahamiki kwa sana
1. My heart to you
2. Tears of the lonely
3/ Flowers won' t grow in garden of stones
4. I recall a gypsy woman
5. It only rains on me
6. I've been loved by the Best
A masterpiece from the master himself!
Don
senorita couldn't be someone like you could love someone like meSenorita!
R.I.P Don Williams
RIPHabari mbaya kwa wapenzi wa country musics ni kwamba yule mkongwe wa nyimbo hizo ajulikanaye kama Don Williams amefariki Dunia. Don amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Allifanya kazi yake vizuri na aliyaishi vizuri maisha yake na kuacha hazina kubwa sana.
We will always miss you Don Williams, then, now and till the river is all run dry.
Pumzika Don Williams the Gentle Giant
huo sijausikia mkuu ila huyu jamaa alikuwa zaidi ya legend aiseenaujua sana huo wimbo sijui kwa nini nimeusahau hata Leo nilishasikia a youtube. Something went wrong along the and there' nothing I can do to make you stay well never put all hopes on you that' the last thing AL ever wanna do.
So you can your way AL go mine if I come across you down the line AL just stop say hello and look
Dah mkuu je Na hii umeshausikia Maybe that's all it takes??