Tanzia: Mwanzilishi na Bosi wa Tip Top Connection, Abdul Bonge afariki dunia

Mungu ampe mwanga wa milele.nackia na difenda yule muigizaji wa bongo movie nae katutoka.mwenye taarifa kamili tafadhali
 
Wapumzike kwa amani.
 

Attachments

  • 1427607827974.jpg
    30.9 KB · Views: 582
Msiba huu upo tofauti na misiba mingine ya wasanii maana haupo kwenye vyombo vya habari sana!
 
"kama mipunga tutachota kwa Abdul Bonge"-Madee,Apepe Abdu Bonge na Ally Zungu.
 
huyo jamaa aliyejifanya yeye ni bingwa wa kusukuma watu murder case inamgoja
 
Kuamulia ugomvi ni mbaya sana,bora kuita polisi wenye uzoefu na ambushi #inna lilah ina raijun.
 
Update

Polisi inamshikilia mtu anayesemekana kuwa alimsukuma katika tukio hilo, mtu huyo inasemekana alikimbia baada ya kutokea kwa tukio hilo amejisalimisha kwa Polisi usiku wa jana.

Mwili wa Marehemu utasafirishwa kuelekea Mkuyuni, Morogoro kwa mazishi baada ya taratibu za kipolisi kukamilika.

Rest in peace Abdul Bonge.
 
Daaah,
Mungu huyu!!!!
Pumzika kwa amani kijana.
 
Daaah,
Mungu huyu!!!!
Pumzika kwa amani kijana.

Huyu sio kijana mkuu. He was my brother na mm nimekula chumvi za kutosha tu.

RIP Abdu Bonge....last time tulikutana ukawa unanipa mafunzo mengi ya kitabu. Nikikumbuka mistari ni kama vile ulijua hatutaonana tena. Will miss you Chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…