mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
NDUGU WANACHAMA WA CCM, napenda kuwapa pole sana kwa kifo cha rafiki yetu,ndugu yetu,baba yetu na mzee wetu BWANA ABSALOOM NANYARO ambaye amekuwa mwenyekiti wa ccm kata ya NNKORANGA,kifo chake kimetokea jana usiku na mazishi yatafanyika nyumbani kwake NNKOANEKOLI eneo la mangusha siku ya jumanne,tunawaomba wanachama wa ccm na wananchi wote wakaribie kwenye mazishi kumpumzisha mzee wetu kwenye nyumba yake ya milele. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIDIMIWE.NAWASILISHA