Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Tuliofuatili World Cup 2002 tunamkumbuka huyu Mwamba
Mchezaji wa zamani wa Kimataifa wa Senegal, Papa Bouba Diop amefariki akiwa na umri wa miaka 42 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Diop anakumbukwa zaidi kwa goli lake la ushindi dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kombe la dunia (Japan na Korea) Mwaka 2002.