TANZIA: Papa Baupa Diop afariki Dunia

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411

Tuliofuatili World Cup 2002 tunamkumbuka huyu Mwamba

Mchezaji wa zamani wa Kimataifa wa Senegal, Papa Bouba Diop amefariki akiwa na umri wa miaka 42 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Diop anakumbukwa zaidi kwa goli lake la ushindi dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kombe la dunia (Japan na Korea) Mwaka 2002.
 


انا لله و انا اليه راجعون
 
Apumzike kwa amani.
Alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…