Aisee diop noma kikosi Bora cha Senegal ndio lilikuwa hicho yaani hapa kamara ,hapa Fadiga,hapa Alhaji Diouf mpaka Raha France anakufa goli moja ,huku zidane akishangaa pale bench ,mwisho kabisa nilijifunza kitu katika mashindano Yale ya dunia 2002 pale Japan na Korea kwamba wazungu hawajawahi kuwapenda Waafrika Senegal walikuwa wanavuka hatua ya nusu lakini kwa kuwa refa alipangwa lazima Senegal washindwe kwa namna yoyote basi wakafanyiwa figisu kama za NEC wakarudi nyumbani hapa chini nimeweka picha wakati alipochapwa kombe la FA akiwa na Portsmouth club ,aliyeupande wa kushoto ni DIOP na aliyeupande wa kulia ni NWANKO KANU wakisherehekea ushindi wa timu yao