Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Yani mkuu bado habari za Mungu wetu hazina mashiko kwako?
Siyo kwangu tu. Hata kwako.
Zikiwa na mashiko hizo si za Mungu tena.
Zinaenda kwenye falsafa, sayansi, historia, anthropojia etc.
Hata kama hujui hilo.
Mungu hadithi yake by definition anatakiwa akuache kwenye mataa humuelewielewi, sasa habari ambazo hazielewekieleweki zitakuwaje na mashiko?
Ukishaona zina mashiko ushazielewa.
Ukishazielewa tu, huyo si Mungu.
Ndiyo maana waliotunga hizo hadithi wamejiwekea insurance policy kwa kusema "the lord works in mysterious ways".
Wanajua wakishakukubalisha hivyo, wanaweza kukujaza ujinga wowote.
Ukiuliza swali ambalo halina jibu, utaambiwa tu "the lord works in mysterious ways".