Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 777
- 2,273
Pumzika kwa amani E.Kezilahabi. Utakumbukwa daima.Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!
Hakika, Jabali limeanguka! Tumeondokewa pakubwa.
Pumzika kwa amani Euphrase Vincent Mfunzi Bagaza Tilibuzya Kezilahabi😭😭
Soma; Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
====
Zaidi Soma:
1. Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
Poleni sana wafiwa,George na nduguze.
Tafsiri: utawekwa rumande leo?You will go on the cell today
Wabheja Bhageshi.Bageshi. Pitia uzi huu...
Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
Huyu E. Kezihalabi ni nani? Euphrase Kezilahabi alizaliwa 13 Aprili 1944 huko Namagondo kisiwani Ukerewe kilichopo ndani ya Ziwa Viktoria. Babake Vincent Tilibuzya alikuwa msimamizi wa kijiji na Euphrase alikuwa na ndugu 10 yaani wavulana 5 na wasichana 5. Alisoma shule ya msingi ya Nakasayenge...www.jamiiforums.com
UshindweeSote sisi ni wa Allah na kwake tutarejea!
Yes ila kwa uchache nilikiona Masana hospital kuna mtu alikuwa nacho na aliniambia kakipata library moja iko Mbezi ya kimaraHivi ,KItabu Rosa Mistika kinapatikana mtaani!
Ni kweli kabisa ukimwita Prof. Kezilahabi kuwa Jabali hukosei.
Alikuwa msanii haswaa.
Hongereni Wakerewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema poleni maana kisha iaga dunia.Ni kweli kabisa ukimwita Prof. Kezilahabi kuwa Jabali hukosei.
Alikuwa msanii haswaa.
Hongereni Wakerewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya Ukabila?Kwanini Wakerewe? Kwanini usiseme Watanzania au Waafrika - tuache kupanda basi la ukabila - Kezilahabi hakuwa mkabila
RIP mtunzi wa Rosa Mistika
mi huwa najiuliza sipati jibu, siku hizi hawaandiki, mtu unasoma aya moja unaona hamna kitu.
Zaman waliandika bwana,mfano Haji Gora Haji ata shule hajaenda lakin hayo mashairi yake huamini
MNAANDIKA KWA UMAHIRI MTAHISI WAKATI ANAUMWA MLIFIKA HOSPTMwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!
Hakika, Jabali limeanguka! Tumeondokewa pakubwa.
Pumzika kwa amani Euphrase Vincent Mfunzi Bagaza Tilibuzya Kezilahabi😭😭
Soma; Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
====
Zaidi Soma:
1. Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu