NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Bila kumsahau Ngalimecha NgahyomaPumzika kwa Amani Prof hakika vichwa maji na wale waliojifanya wamevaa kaptula la marx umewaacha.Mawazo yako yataishi (Kivuli kinaishi) Msalimie Shaaban Robert mwambie Tawasifu yake maisha yangu baada ya miaka 50 tunaendelea ingawa bado haijatimia,ukimuona Edwini Semzaba mwambie wakuu wa Shule siku hizi nao wamegeuka Magoswe,mpe hai nyingi Ben Mtobwa mzee wa pesa zinazonuka mwambie watu wanatanua nazo huku,bila kumsahau Elvis Musiba mzee wa njama.Wàsalimie waandishi wote ikiwezekana muendeleze fani katika Ulimwengu mwingine.Wasalamu.
Shikamoo Babu! mmmmm! wakati wa Azimio la wapi kule?Namkumbuka sana kwa hicho kitabu Rosa mistika nilikisoms Kati ya mwaka 1976 na 1977
Sent using Jamii Forums mobile app
RIP Prof...Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!
Hakika, Jabali limeanguka! Tumeondokewa pakubwa.
Pumzika kwa amani Euphrase Vincent Mfunzi Bagaza Tilibuzya Kezilahabi😭😭
Soma; Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
====
Zaidi Soma:
1. Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
Ningependa kujua kama alitajirika kutokana na hivyo vitabu.Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!
Hakika, Jabali limeanguka! Tumeondokewa pakubwa.
Pumzika kwa amani Euphrase Vincent Mfunzi Bagaza Tilibuzya Kezilahabi😭😭
Soma; Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
====
Zaidi Soma:
1. Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
Wewe ulifika?MNAANDIKA KWA UMAHIRI MTAHISI WAKATI ANAUMWA MLIFIKA HOSPT
RIP PROF
DUKAN
Nadhani ni Amon Mbele ..wala sio Joseph Mbele ....Sasa Sijui kama hawa ndugu?Wewe lini?
Kamanda.... Huyo marehemu alikuwa wa chama gani?RIP mtunzi wa Rosa Mistika
Aliishi miaka mingi Botswana, hakukubaliana na serikali ya chama kushika hatam miaka hiyooo!Kamanda.... Huyo marehemu alikuwa wa chama gani?
Aaah RIP thenAliishi miaka mingi Botswana, hakukubaliana na serikali ya chama kushika hatam miaka hiyooo!
Mkuu mzima lakini? Pole na mapambanoAliishi miaka mingi Botswana, hakukubaliana na serikali ya chama kushika hatam miaka hiyooo!
Very sorry! Ni Mbele yupi? Yule wa folklore?Daaah maprofesa tunazidi kudondoka juzi profesa mbele leo kezilahabi. R.I.P profesa