Enrique David
New Member
- Mar 22, 2018
- 1
- 0
R.I.pMwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!
Hakika, Jabali limeanguka! Tumeondokewa pakubwa.
Pumzika kwa amani Euphrase Vincent Mfunzi Bagaza Tilibuzya Kezilahabi😭😭
Soma; Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
====
Zaidi Soma:
1. Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
Kama una soft copy ya Rosa Mistika naombaRIP mtunzi wa Rosa Mistika
Hata Hussein Tuwa?Tasnia ya Fasihi andishi imekufa.Hakuna tena watunzi wa riwaya
Tasnia ya Fasihi andishi imekufa.Hakuna tena watunzi wa riwaya
Niliposoma Dunia uwanja wa fujo, Hakika kitabu kilijaa fujo za dunia! Tangu uungwana, ngono, urembo, n.k.Write your reply...Rosa mistika nilikisoma