Tanzia: Refa afariki ghafla..

Tanzia: Refa afariki ghafla..

silasmasha

Senior Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
155
Reaction score
110
Refa aliychezesha mech ya Stand utd na Simba afarik akpelekwa hospital baada ya kuanguka ghafla akiwa nyumba ya wagen.
 
Wale wazee wa Ibadakuli washafanya Yao. Wasukuma Mungu anawaona lakini.
 
Tukitumia kamati ya ufundi kama hivi.wataanza chezesha vizuri.
 
Wasukuma naona wanatajwa hapa. Wamehusikaje kwa mfano. Hii ni ajali kama ajali nyingine tu...
 
Ile penat iliniuma sana,kwanini msimu huu mikia wanabebwa sana?kule mbeya walipewa penat 2
 
Back
Top Bottom