Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,183 Jan 2, 2016 #1 Mchezaji matata wa timu ya taifa ya ivory coast Steve 34,ambaye alikuwa kwenye ligi ya bundasiliga amekutwa amefariki ndani ya mto ujerumani ,steve alipotea tangia Dec 12 mwaka Jana na mwili wake uliokotwa mtoni siku ya Tar 31 mwaka Jana.
Mchezaji matata wa timu ya taifa ya ivory coast Steve 34,ambaye alikuwa kwenye ligi ya bundasiliga amekutwa amefariki ndani ya mto ujerumani ,steve alipotea tangia Dec 12 mwaka Jana na mwili wake uliokotwa mtoni siku ya Tar 31 mwaka Jana.