TANZIA: Waziri Mkuu wa Ivory Coast afariki dunia baada ya kuzimia kwenye kikao

TANZIA: Waziri Mkuu wa Ivory Coast afariki dunia baada ya kuzimia kwenye kikao

Protect

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
103
Reaction score
362
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly amefariki dunia ghafla baada ya kuzimia, Bw Coulibaly alizimia ghafla wakati akiwa kwenye kikao cha Mawaziri

Baada ya kuzimia alichukuliwa ni kukimbizwa Hospitalini ambako baada ya muda alitangazwa kuwa amefariki

Bw Coulibaly alikuwa anatarajiwa kuwa mrithi wa Rais Outtara kwenye uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu

rea_256121_025-4-592x296-1588773740.jpg


Ivory Coast's Prime Minister Amadou Gon Coulibaly has died, the country's President announced.

In a statement, President Alassane Ouattara said the nation was in mourning over Coulibaly's death on Wednesday afternoon, which occurred shortly after he attended a cabinet meeting in the Presidential Palace.

He described the prime minister as his closest collaborator over a 30-year period.

Coulibaly, 61, had been chosen to run as the ruling party's candidate in this year's October presidential election.

He had only recently returned from a two-month stay in France where he had been undergoing health check-ups.

At the time, the government said that "after examinations on Monday 4 May at the Pitié-Salpêtrière Hospital, he will take a few weeks rest, as prescribed by his doctor."

Coulibaly arrived back in the Ivory Coast on Thursday

On Twitter, President Ouattara said, "I salute the memory of a statesman, of great loyalty, devotion and love for the homeland.

He embodied this young generation of Ivorian leaders of great skill and extreme loyalty to the Nation."

Capture.JPG

According to his official biography, Coulibaly leaves behind a wife and five children.
 
Na huyu Rais Outtara alikuaga mpinzani enzi za Laurent Gbagbo mpk alipoingizwa madarakani kijeshi na wafaransa.

Eti leo nae amesahau na kuanza tabia za kishenzi shenzi.
 
Watu wasiojulikana wamesha mkolimba
 
Watu wako faster sana kuwazingna wenzao. RIP
Nalog off
 
Na huyu Rais Outtara alikuaga mpinzani enzi za Laurent Gbagbo mpk alipoingizwa madarakani kijeshi na wafaransa.

Eti leo nae amesahau na kuanza tabia za kishenzi shenzi.
Someni jamani someni! Msifikirie kichademadema kila habari,!

Huyo waziri alifanyiwa upasuaji wa moyo, na amekaa ufaransa zaidi ya miaka 2 kufanyiwa uchunguzi wa moyo.
Kwahiyo alikuwa na matatizo ya kiafya tokea zamani.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom