Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

Hahahaa…pole bwana Mzee!
Ila angalau siku hz mmeanza kuzoea…yale mambo ya kupiga kwaya kwny ofc za Umma, kupamba picha na masanamu ya kidini ofcn yameanza kutoweka
Nani ameyatoa?
 
Baadhi ya dini walirudishiwa majengo yao au walinunua. Wengine hawakuwa na chombo kilichokuwa tayari kutoa pesa kununua majengo. Ndipo mwendazake akaamua kuwapa majengo bure ili nao waanzishe chao, baada ya hapo wakashindana kiwe chini ya nani.
 
Yeye hakuwa na uwezo wa kumpa Uwaziri kwenye awamu ya tatu? Mbona hakuwa Waziri awamu ya 4 pamoja na mapendekezo ya Mkapa?
 
Baadhi ya dini walirudishiwa majengo yao au walinunua. Wengine hawakuwa na chombo kilichokuwa tayari kutoa pesa kununua majengo. Ndipo mwendazake akaamua kuwapa majengo bure ili nao waanzishe chao, baada ya hapo wakashindana kiwe chini ya nani.
Hivi bado kipo?
 
Najaribu kuimagine Waislamu kwa mfano wangekuwa wakiomba maeneo na majengo ya Taasisi za serikali kila wiki kuendesha ibada zao hali ingekuwaje?

Leo ukienda kwenye vyuo vikuu vya Umma almost everyday jioni na kila wiki watu wanageuza lecture rooms kuwa nyumba za kuabdudia, kusali na kuimba nyimbo za kwaya na mapambio, Lakini huwezi kuwaona Wakiristo humu wakilisema hilo, Au waislamu wakimaindi. Lakini eti muislamu kusali ndani ya ofisi mchana muda wa lunch break kuna watu inawakereketa kwelikweli.

Tuache chuki za kidini
 
Mzee umeelewa kweli ulichokiandika?
 
Sijui haya majibishano yanakujaje hapa. nssf ni taasisi ya umma na inahudumia umma mzima wa watzania.

Hao wafanyakaz wa hapo wanaonana uso kwa macho na hao wananchi kila siku. Watu wanaeleza walichokuwa wanakiona.

Mbona simpo tu.
Sio watu sema wakristo wanawalisha matango pori, toka NPF hadi NSSF wafanyakazi wa waislam hawajawahi fika 40% ya wafanyakazi wote, pili nikwambie ajira nyingi za serikali zinaangalia unamjua nani, nikupe mfano tu watoto wa Janeth Mbene wameajiriwa nssf kipindi cha Dr Dau je hao watoto ni waislam?
 
Tena wanachukuwa maeneo makubwa kama pale tanganyika packers. Ingekuwa waisilam saa hizi nchi isingekalika. Chukulia mfano mchache tu kama kilichotokea mbagala zackhiem si waisilam walipigwa marufuku.
 
Dau huyu huyu aliefuja miradi kibao ya nssf kama kule kigamboni walinunua viwanja kwa mamilioni ya fedha wakati thamani halisi haifiki 1M
Wala tusilalamikiane sana ni wewe tu hujakutana na hizi fursa inawezekana ungekuwa wewe aliyoyafanya yeye wewe ungezidisha kiwango,kama binadamu kila mmoja ana tamaa na asili ya binadamu ni tamaa ni wachache sana hukikwepa hiki kipengele we unadhani hata huyu aliyeshika hatma ya Taifa sasa hapigi?

NB:Namshauri Dkt Dau aandike na mema ya Dkt Kikwete na Dkt Magufuli also kama yatakuwepo ya Mzee Mwinyi ayaandike wakingali hai nao wayaone ili kupunguza hili gap la kuonekana wanafiki tunapopongeza watu waliotutendea mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa tu kama syo BM saa hizi vyoo vya magereza vingeshajaa kwa kinyesi cha dau
Hizi ni fitina, huna ushahidi, unaongea usilo na ushahidi nalo na bado unalisimamia! Jambo usilolijua ni usiku wa giza. Kama dau alitenda hilo bila ya shaka Magufuli angemwadhibu.
 

Hii inaitwa mpe mchawi akulele mtoto
 
Nssf hakushindwa kuendesha mtu alopokea baada ya Dau, bali mfumo wa utawala wa sasa haumpi nafasi mtu kutenda kwa akili zako mwenyewe kama ilivyokua kabla wakati wa Dau, hata hivyo ameondolewa kiongozi mmoja tu baada ya dau kuondolewa.
Kwa kuajiri waislamu ni kweli ilikua ndo zake.kila sector nssf waislamu ni almost 80% na hakuona aibu ktk hilo.
Kuhusu kung'ara kwa ukweli dau alitaka kuliangamiza shirika, nssf wanakopa mshahara Benki?
Ameacha madeni makubwa sana kwa sababu ya uwekezaji wa kijinga.
Kwa sasa nssf iko liquid to service its debts
 
Hivi majengo ya NBC yaliuzwa au Yalitolewa bure,
 
Nilivyosoma heading haraka haraka
Nikajua Dr Dau amefariki...
Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa.... mbona kimetumika Kiswahili chepesi sana hapo? Neno gani hapo linaleta dhana ya Dkt. Dau kufariki?
 
Kwa taarifa tu kama syo BM saa hizi vyoo vya magereza vingeshajaa kwa kinyesi cha dau
Kwahiyo unataka kusema Magufuli anasikiliza sana Fitina za watu?? Au unataka kusema Neno Mkapa alikuwa mtetezi wa fisadi?
 
Liquidity ya kuservice Hilo deni unadhani imetokana na nini kama sio uwekezaji uliofanywa wakati wa Dau? Unadhani kuna uwekezaji gani umefanyika kiasi cha kufanya shirika liwe na uwezo wa kuservice deni lake ndani ya muda mfupi huu wa miaka 5. Let's appreciate that Dau alifanya kazi kubwa kwenye shirika.

Halafu suala la 80 percent waislam kwenye shirika huwezi kuthibitisha na ninaamini hii kelele ya kuwa waislam wengi kwenye shirika inapigwa na watu waliozoea kutowaona waislam katika taasisi za umma, si ajabu hao waislam ni aslimia 35 lkn kwa vile hawatakiwi kuonekana na watu kama wewe mmeamaua kusema ni 80%. Hivi ni kweli ukichukua watumishi wa Ofisi zote za NSSF mikoani na makao makuu utapata waislam ni 80%?? Mimi naona hili si kweli, huu ni uzushi uliowazi kabisa ili kumchafua dau na ni chuki zako kwa uislamu. Ukiambiwa thibitisha wala huwezi kuthibitisha

Kawaida penye mwislamu mmoja, huwa wanaonekana kama vile wapo 10 kwasababu ya misimamo yao na pale wanapokuwa wachamungu wanakuwa ni wachamungu kwelikweli, na hili huwaudhi wakristo. Waislamu wanaopendwa na watu wasio waislamu ni wale wenye majina ya kiislam lkn si waislam wa kweli na wala hawajui dini yao. Hawa hupendwa na wasio waislam kwasababu watakuwa pamoja kwenye kunywa bia, ufisadi na maasi mengine ambayo mwislamu wa kweli hawezi kushiriki. Wakristo wachache sana wenye unyenyekevu ndio wanajua kuwa waislam ni ndugu zao na wana haki kama zao.
 
Kuna wakati namkumbuka sana Dau nikiangalia na uongozi wa huyu bwana mkubwa alietoka ppf, mambo ni mengi kabadilisha basi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…