TANZIA Tanzia: Yasin Abdalah ametutoka

TANZIA Tanzia: Yasin Abdalah ametutoka

Amefariki Jana. 07 September 2020. Mimi nilikuwa napenda jinsi anavyoongea kwa confidence. Jinsi anavyopangilia hoja.
Huyu alishakuwa bondia zamani kabla hajawq kiongozi?

Genta najua huyu jamaa ni classmate wako(natania),tupe historia yake
 
Amefariki Jana. 07 September 2020.

Wewe uko sahihi. Leo tarehe 08/09/2020, ndiyo anapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.

Kifo chake ni pigo kwa tasnia ya masumbwi nchini. Jamaa alipambana sana enzi za uhai wake, kuinua tasnia ya masumbwi na ambayo kuna wakati iliyumba.

Rest In Peace Rais wa TPBO, Ostaadh Yasin Abdallah.
 
Amefariki Jana. 07 September 2020. Mimi nilikuwa napenda jinsi anavyoongea kwa confidence. Jinsi anavyopangilia hoja.
Huyu alishakuwa bondia zamani kabla hajawq kiongozi?

Genta najua huyu jamaa ni classmate wako(natania),tupe historia yake

Mtafuteni tu Mdogo wake kabisa ( kwa Baba Mdogo ) Mtangazaji wa ITV na Radio One, Capital FM na Tv 'Big Boss' Abdallah Mwaipaya atawajibuni.
 
Acha 'Upuuzi' na 'Unafiki' tafadhali sawa? Kwani Abdallah Mwaipaya nae ni Mwanamichezo?
Kujua kuwa ostadhi na mwaipaya ni ndugu it means unamjua vizuri ostadhi
But sorry if nmekukwaza nilikuwa na dhamiri safi
 
Roho yake ipumzike kwa amani huyu mzee, nimepata kumjua siku nyingi mno kwenye ulimwengu wa Masumbwi.

Wapenzi wa ngumi ama fujo tumepoteza koleo.
 
Back
Top Bottom