mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Picha tafadhali ilo jina ka nalikumbuka !!Mocha ,promota na rais wazamani wa TPBO amefariki dunia
Leo 8/9/2020 Yassin Abdalah 'ostadh'
Rip ostadh
Update zitakujia hapa hapa
R.i.p mzee.Mocha ,promota na rais wazamani wa TPBO amefariki dunia.
Leo 8/9/2020 Yassin Abdalah 'ostadh'.
Rip ostadh
Update zitakujia hapa hapa
GENTAMYCINE anazo taarifa za wanamichezo wengi wa nchi hii,wa sasa Na wa zamani. Hadi za wanamuziki ,wa bongo mpaka Kalemie.Genta mtoto wa juzi miaka ya 80 hawezi kujua lolote kuhusu uyu Mwamba.
Amefariki Jana. 07 September 2020.
Amefariki Jana. 07 September 2020. Mimi nilikuwa napenda jinsi anavyoongea kwa confidence. Jinsi anavyopangilia hoja.
Huyu alishakuwa bondia zamani kabla hajawq kiongozi?
Genta najua huyu jamaa ni classmate wako(natania),tupe historia yake
Shukrani kweli wewe unajua wanamichezo woteMtafuteni tu Mdogo wake kabisa ( kwa Baba Mdogo ) Mtangazaji wa ITV na Radio One, Capital FM na Tv 'Big Boss' Abdallah Mwaipaya atawajibuni.
Shukrani kweli wewe unajua wanamichezo wote
Kujua kuwa ostadhi na mwaipaya ni ndugu it means unamjua vizuri ostadhiAcha 'Upuuzi' na 'Unafiki' tafadhali sawa? Kwani Abdallah Mwaipaya nae ni Mwanamichezo?
Neno kali hili alafu kwa msisitizo kuna shida kwaniAlazwe Anapostahiri
MkuuNeno kali hili alafu kwa msisitizo kuna shida kwani