Tanzia!!!!

Tanzia!!!!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,483
Reaction score
3,369
Ndg zangu WanaJF! Hili nimependa niwajuze tu! Yule Mmasai aliyekuwa anatangaza bia ya kampuni ya TBL kwa kutoa advertise ya kukimbia na kutaka kuruka mto na kudondosha kizibo cha bia ya safari lager amefariki dunia leo alfajiri ktk hosptal ya Tank la maji hapa Arusha mjini,kilichonigusa sana ni familia yake kulia kwa uchungu makubwa ila hakika MUNGU alimpenda zaidi. Ndipo nikakumbuka alivyokuwa akiadvertise ile tangazo la safari ni safari na nikajiuliza, Je? Kampuni ya TBL itashughulika na chochote kama watapata taarifa hii nzito ya msiba? Hayo nimeyakuta leo nilipofika pale hosptalini lakini ina machungu sana. Marehemu Meshiliek Lendwala Mollel amekutwa na mauti baada ya kuugua kwa muda mfupi sana na ameacha wake wawili na watoto! Na mpango wa mzishi inaandaliwa pale Dukabovu wilaya ya Monduli post kbs na pale kile kitengo cha nyoka maarufu hapa Arusha kuitwa Snake Park. Bwana ametoa na Bwana ametwaa! Jina lake lihimidiwe sasa na hata milele! Amen!
 
RIP Meshiliek.......

Na hbr nilizopata kumbe ni guide pale Snake Park tangu wale Makaburu waanzishe pale tangu 1993 aliungana nao tangu kipindi kile mpk leo mauti yanafika. Na inasemekana azidiwa ghafla akiwa kazini.
 
Na hbr nilizopata kumbe ni gaidi pale Snake Park tangu wale Makaburu waanzishe pale tangu 1993 aliungana nao tangu kipindi kile mpk leo mauti yanafika. Na inasemekana azidiwa ghafla akiwa kazini.

red n bold: hapo una maanisha nini ndugu? hebu niweke sawa
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,
Amen!
 
Ni swali moja! Je? Kampuni ya TBL hawataisaidia hii familia iliyoachwa na Marehemu? Maana kuna kipindi kampuni iliuza bia aina ya Safari Lager kwa ajili ya ile advertise yake,Je wanaikumbuka kweli?
 
Duuuh Mmasai mwingine maarufu amefariki mwezi huu Mr.Ebbo tar.1 na sasa huyu ndg.yetu Meshielek... RIP 2 them...
 
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema pepon amen
 
Duuuh Mmasai mwingine maarufu amefariki mwezi huu Mr.Ebbo tar.1 na sasa huyu ndg.yetu Meshielek... RIP 2 them...

Mi namkumbuka enzi yake ktk ile advertise ya Safari ni Safari na mwishowe anamalizia kwa kudondosha kizibo cha chupa ya SAFARI LAGER! Nasema tena LALA SALAMA MESHILIEK!!
 
Back
Top Bottom