Pretty R.
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 200
- 31
Kuna habari za kusikitisha kwamba MARIAM KHAMIS amefariki dunia wakati wa kujifungua katika hospitali ya Muhimbili na mtoto amebaki mzima. Marehemu alikuwa star wa muziki wa taarabu kama "paka mapepe", "sitishiki na lawama zenu" na zingine kibao. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Ameeen.
