Asanteni wakuu kwa kutuletea huduma hapa karibu!! Nna maswali mawili, moja- nini madhara ya kutumia viagra? Na je ni vibaya hata kama utatumia mara moja moja?Swali la pili- nna rafiki yangu kila akiwa na galfriend wake wanado fresh bila tatizo lolote,but akitoka na msichana mwingine jogoo anagoma kuwika,je hilo ni tatizo gani? Nini tiba yake? Nawakilisha!!!!Ndugu wana jamii,timu nzima ya TanzMED imekamilisha hatua nyingine bora zaidi ambayo itawawezesha wanajamii kuwasiliana na daktari moja kwa moja.Tumefikia hatua hii baada ya kupata maoni toka kwa watu wakisema kuna baadhi ya magonjwa ni ya siri na ni ngumu kuyaweka hadharani. Hivyo kama una tatizo,unaweza kuwasiliana na kundi la Madkari wa TanzMED bila gharama kwa kwenda HAPATanzMED -Admin
Asanteni wakuu kwa kutuletea huduma hapa karibu!! Nna maswali mawili, moja- nini madhara ya kutumia viagra? Na je ni vibaya hata kama utatumia mara moja moja?Swali la pili- nna rafiki yangu kila akiwa na galfriend wake wanado fresh bila tatizo lolote,but akitoka na msichana mwingine jogoo anagoma kuwika,je hilo ni tatizo gani? Nini tiba yake? Nawakilisha!!!!