Timu nzima ya TanzMED inayofuraha kukutaaribu kuwa tumekamilisha uboreshaji wa tovuti mpya ya TanzMED.
Kwenye tovuti hii mpya mambo mengi mno yamezingatiwa ambayo yataleta mageuzi makubwa kwenye ulimwengu wa afya kwa Tanzania.
Tupo kwenye majaribio ya wiki mbili,tembelea
http://new.tanzmed.com na jiunge kwa kutembelea
Jiunge na TanzMED
Maoni,ushauri,mapendekezo na mengineyo yanakaribishwa kwani sasa tupo kwenye majaribio.
Admin - TanzMED Group