Tanzu na Vipera: Elimu ya kipumbavu kabisa isiyo na msaada.

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Bora ule muda ningeenda zangu VETA nisomee ufundi wa mabomba au umeme, nikitoka niende English course ili nifanye mtihani wa kiingereza wa IELTS au PTE baada ya hapo nitafute kazi ughaibuni au kukomaa hapa hapa.

Miaka 4 ya O level, 2 ya Advance, 3 ya chuo kikuu ilikuwa ni UPUMBAVU.
 
Nchi gani inatambua hizo takataka zenu mnazoita veta au makaratasi mnayookota huko ?
 
Kuna muda najisemea ningesoma mechanic tangu muda saizi,

Ningejiendeleza kwenye maswala ya EV motors saizi ningekuwa na ramani nzuri ya kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…