Tapbds

Tapbds

KAMSI

Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
24
Reaction score
1
HiVI mnajua inawezekana mfano elimu kwa wote hasa wasio na ajira waweze kujiajiri,wenyebiashara na wasionazo waweze kufanya vizuri elimu inawezekana jifunze uone fursa zilizopo bongo someni taarifa badala ya kuahangaika na application miaka nenda miaka rudi yaani mpaka unabadilika na unakua rangi ya kaki kwa sababu ya kubeba bahasha za application.
 
Lengo la mwanzisha mada ni kuelimisha watu au kuja kutukana watu??
 
Muanzisha uzi mbona haueleweki lengo la ujzi wako ni nini?
Tufafanulie tafadhali,,,
 
ni vyema kama hizo taarifa utupe na ss wengine

Ni kwamba humu Tz kuna mafursa mengi yakujipatia kipato embu tujaribu kuwa wabunifu badala ya kuahangaika na hizo post chache za government na sekta mbalimbali kwa nini vijana tusianzishe na nasisi makampuni yaani mfano tuna mbuga za wanyama misitu na maliasili nyingi lakini wawekezaji wengi ni wageni jamani tusijiite maskini tunavyo vingi TZ.
'' tusiogope kuanguka wakati tunajifunza kutembea''
 
Lengo la mwanzisha mada ni kuelimisha watu au kuja kutukana watu??

situkani mtu hii nin kuwaamsha vijana maana ndio tunaohangaika na job so badala ya kusubiri post za gvt au kenye makampuni binafsi tuwe wabunifu maana hii serikali haiwezi kutuajiri wote so tutumie fursa zilizopo mbona wachina wanakuja humu na wanapata kujiajiri angalia k/koo walivyo jaa.

''Ajira sio kuajiriwa tu hata ukijiajiri mwenyewe ni ajira''
 
Back
Top Bottom