Tape video za wanafunzi wa chuo kikuu cha muhimbili walioshiliki kwenye mgomo wa tar 8 na 10 december na kuzuia research day na mahafari ,mkuu wa chuo cha mkwawa amewatangazia wanafunzi wake yoyote atakayegoma atarekodiwa na kufukuza au kusimamishwa masomo kama muhimbili walivofanya kwa wanafunzi 66 waliowasimamisha,kwasababu technologia imekuwa
Hawa wakuu wasifanye nchi hii kama mali yao , wanataka kuwafanya wanafunzi kama wanyama wasioweze hata kupata haki zao za msingi. Waache mambo ya kutishiana ,hapa hakuna mtu wa kutishiwa bwana
Hakuna mtu wa kumutishia wasubiri 2015 aondoke anayewapa kibuli ili kunyanyasa ,kufukuza,kusimamisha wanafunzi watakiona cha moto ,hakika tutakufa nao ,wajiandae vita